Saturday 3 November 2018

Ongeza makalio (matako) kwa njia za asili

Idadi kubwa ya Wanawake Duniani kote hupendelea kutumia muda wao mwingi kujipamba na kujiremba ili waweze kuonekana wenye mvuto kwa wenzi na waume zao, hiyo ni kwa mujibu wa takwimu.

Katika kuzingatia hilo, Daktari bingwa wa tiba za asili na kisunnah Afrika Mashariki na kati, Dokta Nguvumali, akaona atafute njia mbadala ya kuwakomboa Wanawake ambao wanatamani kukuza makalio yao kwa njia salama za asili ambazo hazina madhara.

MAHITAJI

Soya Milk
Karanga zilizosagwa
Ndizi zilizoiva
Chungwa au Limao
MAANDALIZI

Changanya ndizi, karanga zilizosagwa, maziwa ya soya na lima, kisha saga kwa pamoja kwenye kifaa maalum cha kusagia matunda na nafaka maarufu kama BlENDA
Baada ya kusaga na kupata mchanganyiko mzuri waweza kunywa. Kunywa kila siku, utaona majibu yake.
MATOKEO

Utakuwa na matako makubwa yasiyo na madhara

1 comment:

  1. 1xbet korean - legalbet.co.kr
    1xbet korean - legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr | Legalbet.co.kr 1xbet 가입 | Legalbet.co.kr.

    ReplyDelete

Comments

ANDIKA TATIZO LOLOTE KWENYE COMMENT TUKUANDIKIA SOLUTION