Saturday 6 May 2017

Maneno ya kwanza ya Belle 9 tangu kufiwa na baba yake

May, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM staa wa muziki wa Bongofleva Belle 9 amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya msiba huo wa baba yake mzazi akisema kuwa maisha yake kwa sasa yamebadilika.
Usiku wa kuamkia April 18, 2017 zilitangazwa taarifa za kifo cha mzee Damian Nyamoga ambaye ni baba mzazi wa Belle 9 aliyefariki akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kugongwa na pikipiki mjini Morogoro.
“Maisha yamebadilika. Zamani nilikuwa nikiongea na mama, ananiambia baba yako huyu hapa ongea naye. Najifunza sasa kuishi maisha mapya. Hii dunia tunapita tu cha muhimu kujiandaa.”
Aidha, Belle 9 amesema anaendelea na maisha yake mengine ambapo ameweka wazi ujio wa video mpya huku akitoa shukrani kwa watanzania wote ambao walikuwa naye katika kipindi chote cha majonzi.
“Tupo location tunafanya video, lakini nimesimamisha kwanza kwa sababu ya kutoa shukrani kwenu na watanzania waliokuwa pamoja nami.
“Now naendelea na maisha yangu. Kelvin Bosco amenipa zawadi ya video kama pole kwangu na hii ngoma haikuwa kwenye plan. So sio vibaya tukiendelea kuhifadhi kwenye maktaba mpaka pale tutakapopata muda wa kuitoa.” – Belle 9.

Friday 5 May 2017

“Nimeishi kwenye mashindano, siku zote naamini kwenye ushindani” – Darassa


Rapa staa kutoka Bongoflevani Darassa amesema watu wengi wa Afrika Mashiriki wamekuwa wakiamini kuwa watu wachache tu ndio wanaujua muziki jambo linalotafsiriwa tofauti na wimbo wake wa Muziki.
Darassa ameyasema hayo kwenye XXL ya Clouds FM leo May 4, 2017 akisema kuwa amekuwa akiishi kwenye maisha ya ushindani siku zote na watu wataiona tofauti iliyopo kati ya wimbo wa Muziki na Hasara Roho.
“Kitu ambacho East African wengi wameamini, ndani ya Tanzania kuna watu wachache wanaoweza ila Muziki ulionesha utofauti. Mtu akiamini kwenye kile anachokifanya na kuweka mafanikio, kila kilichokigumu huwa chepesi kwako.
“Nimeishi kwenye mashindano siku zote. Naamini kwenye ushindani, watu wasubiri waone utofauti kutoka Muziki hadi Hasara Roho.” – Darassa

Tuesday 2 May 2017

DHIBITI U.T.I KWA TIBA MBADALA

U.T.I ni ugonjwa sugu unaosumbua sana watu wengi hivi sasa, wakubwa kwa wadogo. U.T.I (Urinary tract Infection) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na huweza kusababisha maumivu makali na unapojiimarisha mwilini kwa muda mrefu huathiri figo pia. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na mtu kusikia haja ya kukojoa kila wakati na kusisimka wakati wa kujisaidia, kusikia maumivu, kutoa mkojo mchafu na hata kutoa haja ndogo iliyochanganyika na damu.
Wataalamu wetu wa masuala ya tiba wanatueleza kuwa tatizo hili hujitokeza pale mlango wa njia ya haja ndogo inaposhambuliwa na bakteria ambao husambaa na wasipotibiwa mapema huenea hadi kwenye figo na athari zake ni mbaya.
UNAWEZA KUDHIBITI U.T.I KWA TIBA MBADALA
Kwa kawaida kila ungonjwa una tiba mbadala, siyo lazima kwenda hospitali. Unaweza kuudhibiti au kuponya ugonjwa huu kwa kunywa maji mengi pamoja na juisi itokanayo na matunda halisi, iwapo utawahi kabla tatizo halijawa sugu.
Kwa maana nyingine, unaweza kujikinga na ugonjwa huu kwa kuwa na mazoea ya kunywa maji ya kutosha kila siku. Ukinywa maji ya kutosha yatakufanya uende haja ndogo kila mara na kwa njia hiyo wale bakteria watakuwa wakitoka na hatimaye kuisha kabisa. Aidha, njia nyingine ya kuudhibitibi ugonjwa huu ni kunywa maji mengi au kwenda haja ndogo mara baada ya kufanya tendo la ndoa, kitendo hiki husaidia kuwaondoa mapema bakteria wote ulioambukizwa wakati wa kujamiiana na mwenzio.
Katika hali ya kawaida, ugonjwa wa UTI hutoweka ndani ya siku tatu mara baada ya kuanza kutumia tiba asili ya kunywa maji mengi na juisi ya matunda halisi, iwapo ugonjwa utaendelea kuwepo baada ya siku hizo, hiyo itakuwa na maana ugonjwa wako umeshakomaa na hivyo hauwezi kutibika kwa tiba hii ya nyumbani.
Katika hali kama hii, utakuwa huna njia nyingine isipokuwa kwenda hospitalini na kuonana na daktari ambaye atakufanyia uchunguzi na kukupatia dozi sahihi ambayo utatakiwa kuizingatia bila kukosa. Uamuzi huu ni muhimu hasa kama unasikia maumivu makali ambayo yanaweza kuwa yanasababishwa na kuathirika kwa figo. Kwa kawaida tiba ya kidaktari kwa ugonjwa huu huhusisha matumizi ya dawa kali za ‘antibiotics’, ambazo watu wengi wanazikimbia kutokana na athari zake za baadae (side effects). Lakini ni muhimu kufuata ushauri wa dokta na kumaliza dozi ili kuepuka uwezekano wa kurejea kwa ugonjwa, tena kwa kasi kubwa.
KUZUIA
Ili kujiepusha na ugonjwa huu, suala la usafi na kuwa na tabia ya kunywa maji ya kutosha ni jambo muhimu sana. Hakikisha unajisafisha vizuri mara baada ya kwenda haja na kubadilisha mara kwa mara nguo yako ya ndani, hasa kwa akina mama.
Vile vile usikae na haja ndogo kwa muda mrefu, nenda kajisaidie mara nyingi kadri unavyosikia kufanya hivyo. Kitu cha mwisho cha kuzingatia kwa mgonjwa wa UTI ni kupunguza unywaji wa pombe na vinywaji vingine vyenye sukari, kwa sababu sukari ni chakula cha bakteria hivyo kwa kuendelea kunywa kinywaji chenye sukari kutaifanya hali kuendelea kuwa mbaya. Ugonjwa huu ni rahisi kuepuka kwa mtu anayependa kunywa maji ya kutosha na kunywa juisi halisi kila siku.
VYAKULA MUHIMU KUDHIBITI UTI
Katika kuudhibiti ugonjwa huu, pendelea kula vyakula ama vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha vitamini C ambayo utakipata kwenye matunda ya aina mbalimbali yakiwemo machungwa, mboga za majani n.k. Jiepushe na ulaji wa vyakula vya ‘kupaki’ kama vile ‘chizi’, chokoleti na bidhaa nyingine zilizotengenezwa kutokana na maziwa. Pia jiepushe na ulaji wa vyakula vyenye viungo vingi kama pilau, epuka vyinywaji vyenye ‘caffeine’, kilevi na sigara na mwisho achana na vinywaji kama soda na vinavyofanana na soda.

NAMNA YA KUBANA UKE WAKO (HALF BIKIRA)

Uke kuregea ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke hali hii husababisha Uke kuregea (Kutepeta). Maranyingi wanaume wenye wake au wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulio regea  hua wanapoteza hamu ya kuwaingilia hao wake au wapenzi wao au kushindwa kumudu vyema hilo tendo la ndoa kwa maana ya kutokuweza kurudia mara ya pili ikiwa atamwaga la kwanza.
         
            SABABU ZA UKE KUREGEA
Zipo sababu zinazopelekea misuli ya uke kuregea hivyo kusababisha mwanamke kua na uke ulio regea nazo ni hizi zifuatazo;
                              (1)  Magonjwa ya uke
                              (2)  Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
                              (3)  Kujifungua
                              (4)   Usagaji

            DAWA YA UKE KUREGEA
(1)Tafuta mnana (mint tree) jemsha majani kadha alafu jifukize mvuke wake na upake maji yake kila unapokoga.

(2)Tafuta maganda ya mkomamanga ya Nike mpka ya kauke then yasage upate unga alfu chukua ujazo wa nusu kikombe cha Chai na maji liter 1 then chemsha alfu chuja upate maji tu jipake kila asubuhi na time ya kufanya tendo la ndoa.

(3)Chukua kokwa za embe za kutosha zianike jua mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini.
                  MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
fanya zoezi hilo kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.
     #Mabadiliko utayaona baada siku tatu

Comments

ANDIKA TATIZO LOLOTE KWENYE COMMENT TUKUANDIKIA SOLUTION