Monday 10 April 2017

PATA HESHIMA YA NDOA YAKO KWA DAWA ZA ASILI

HESHIMA YANDOA YAKO
(1)Chukua haba soda na tende na maziwa safi ya ngombe fanya juis kunywa mara moja tu kwa siku
(2)Mzizi wa mpopoo unakata vipande 7uwe mbichi upate natangawizi napweza m'bichi upike pamoja mchuzi utakunywa kutwa mara mbili asubuhi na jioni
(3)chukua mzizi wamchakuzi upikwe napweza mgonjwa apewe anywe siku tatu mpaka saba kutwa mara tatu
(4)kwa wale wanao mwaga mapema  chukua mzizi wa mfungua jini namzizi wa mhogo chemsha pamoja kunywa mara mbili siku tano
(5)Kwawale wasio nyanyua kabisa chukua mzizi wa mkwaju kunywa lita moja kwasiku saba
(6)Chukua mzizi wa mwinamia kuzimu kunywa kikombe kimoja siku tano kutwa mara mbili
(7)Chukua mzizi wa njugu  kula kipande kimoja uwezavyo

No comments:

Post a Comment

Comments

ANDIKA TATIZO LOLOTE KWENYE COMMENT TUKUANDIKIA SOLUTION