Saturday 3 November 2018

Ongeza makalio (matako) kwa njia za asili

Idadi kubwa ya Wanawake Duniani kote hupendelea kutumia muda wao mwingi kujipamba na kujiremba ili waweze kuonekana wenye mvuto kwa wenzi na waume zao, hiyo ni kwa mujibu wa takwimu.

Katika kuzingatia hilo, Daktari bingwa wa tiba za asili na kisunnah Afrika Mashariki na kati, Dokta Nguvumali, akaona atafute njia mbadala ya kuwakomboa Wanawake ambao wanatamani kukuza makalio yao kwa njia salama za asili ambazo hazina madhara.

MAHITAJI

Soya Milk
Karanga zilizosagwa
Ndizi zilizoiva
Chungwa au Limao
MAANDALIZI

Changanya ndizi, karanga zilizosagwa, maziwa ya soya na lima, kisha saga kwa pamoja kwenye kifaa maalum cha kusagia matunda na nafaka maarufu kama BlENDA
Baada ya kusaga na kupata mchanganyiko mzuri waweza kunywa. Kunywa kila siku, utaona majibu yake.
MATOKEO

Utakuwa na matako makubwa yasiyo na madhara

Saturday 6 May 2017

Maneno ya kwanza ya Belle 9 tangu kufiwa na baba yake

May, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM staa wa muziki wa Bongofleva Belle 9 amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya msiba huo wa baba yake mzazi akisema kuwa maisha yake kwa sasa yamebadilika.
Usiku wa kuamkia April 18, 2017 zilitangazwa taarifa za kifo cha mzee Damian Nyamoga ambaye ni baba mzazi wa Belle 9 aliyefariki akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kugongwa na pikipiki mjini Morogoro.
“Maisha yamebadilika. Zamani nilikuwa nikiongea na mama, ananiambia baba yako huyu hapa ongea naye. Najifunza sasa kuishi maisha mapya. Hii dunia tunapita tu cha muhimu kujiandaa.”
Aidha, Belle 9 amesema anaendelea na maisha yake mengine ambapo ameweka wazi ujio wa video mpya huku akitoa shukrani kwa watanzania wote ambao walikuwa naye katika kipindi chote cha majonzi.
“Tupo location tunafanya video, lakini nimesimamisha kwanza kwa sababu ya kutoa shukrani kwenu na watanzania waliokuwa pamoja nami.
“Now naendelea na maisha yangu. Kelvin Bosco amenipa zawadi ya video kama pole kwangu na hii ngoma haikuwa kwenye plan. So sio vibaya tukiendelea kuhifadhi kwenye maktaba mpaka pale tutakapopata muda wa kuitoa.” – Belle 9.

Friday 5 May 2017

“Nimeishi kwenye mashindano, siku zote naamini kwenye ushindani” – Darassa


Rapa staa kutoka Bongoflevani Darassa amesema watu wengi wa Afrika Mashiriki wamekuwa wakiamini kuwa watu wachache tu ndio wanaujua muziki jambo linalotafsiriwa tofauti na wimbo wake wa Muziki.
Darassa ameyasema hayo kwenye XXL ya Clouds FM leo May 4, 2017 akisema kuwa amekuwa akiishi kwenye maisha ya ushindani siku zote na watu wataiona tofauti iliyopo kati ya wimbo wa Muziki na Hasara Roho.
“Kitu ambacho East African wengi wameamini, ndani ya Tanzania kuna watu wachache wanaoweza ila Muziki ulionesha utofauti. Mtu akiamini kwenye kile anachokifanya na kuweka mafanikio, kila kilichokigumu huwa chepesi kwako.
“Nimeishi kwenye mashindano siku zote. Naamini kwenye ushindani, watu wasubiri waone utofauti kutoka Muziki hadi Hasara Roho.” – Darassa

Tuesday 2 May 2017

DHIBITI U.T.I KWA TIBA MBADALA

U.T.I ni ugonjwa sugu unaosumbua sana watu wengi hivi sasa, wakubwa kwa wadogo. U.T.I (Urinary tract Infection) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na huweza kusababisha maumivu makali na unapojiimarisha mwilini kwa muda mrefu huathiri figo pia. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na mtu kusikia haja ya kukojoa kila wakati na kusisimka wakati wa kujisaidia, kusikia maumivu, kutoa mkojo mchafu na hata kutoa haja ndogo iliyochanganyika na damu.
Wataalamu wetu wa masuala ya tiba wanatueleza kuwa tatizo hili hujitokeza pale mlango wa njia ya haja ndogo inaposhambuliwa na bakteria ambao husambaa na wasipotibiwa mapema huenea hadi kwenye figo na athari zake ni mbaya.
UNAWEZA KUDHIBITI U.T.I KWA TIBA MBADALA
Kwa kawaida kila ungonjwa una tiba mbadala, siyo lazima kwenda hospitali. Unaweza kuudhibiti au kuponya ugonjwa huu kwa kunywa maji mengi pamoja na juisi itokanayo na matunda halisi, iwapo utawahi kabla tatizo halijawa sugu.
Kwa maana nyingine, unaweza kujikinga na ugonjwa huu kwa kuwa na mazoea ya kunywa maji ya kutosha kila siku. Ukinywa maji ya kutosha yatakufanya uende haja ndogo kila mara na kwa njia hiyo wale bakteria watakuwa wakitoka na hatimaye kuisha kabisa. Aidha, njia nyingine ya kuudhibitibi ugonjwa huu ni kunywa maji mengi au kwenda haja ndogo mara baada ya kufanya tendo la ndoa, kitendo hiki husaidia kuwaondoa mapema bakteria wote ulioambukizwa wakati wa kujamiiana na mwenzio.
Katika hali ya kawaida, ugonjwa wa UTI hutoweka ndani ya siku tatu mara baada ya kuanza kutumia tiba asili ya kunywa maji mengi na juisi ya matunda halisi, iwapo ugonjwa utaendelea kuwepo baada ya siku hizo, hiyo itakuwa na maana ugonjwa wako umeshakomaa na hivyo hauwezi kutibika kwa tiba hii ya nyumbani.
Katika hali kama hii, utakuwa huna njia nyingine isipokuwa kwenda hospitalini na kuonana na daktari ambaye atakufanyia uchunguzi na kukupatia dozi sahihi ambayo utatakiwa kuizingatia bila kukosa. Uamuzi huu ni muhimu hasa kama unasikia maumivu makali ambayo yanaweza kuwa yanasababishwa na kuathirika kwa figo. Kwa kawaida tiba ya kidaktari kwa ugonjwa huu huhusisha matumizi ya dawa kali za ‘antibiotics’, ambazo watu wengi wanazikimbia kutokana na athari zake za baadae (side effects). Lakini ni muhimu kufuata ushauri wa dokta na kumaliza dozi ili kuepuka uwezekano wa kurejea kwa ugonjwa, tena kwa kasi kubwa.
KUZUIA
Ili kujiepusha na ugonjwa huu, suala la usafi na kuwa na tabia ya kunywa maji ya kutosha ni jambo muhimu sana. Hakikisha unajisafisha vizuri mara baada ya kwenda haja na kubadilisha mara kwa mara nguo yako ya ndani, hasa kwa akina mama.
Vile vile usikae na haja ndogo kwa muda mrefu, nenda kajisaidie mara nyingi kadri unavyosikia kufanya hivyo. Kitu cha mwisho cha kuzingatia kwa mgonjwa wa UTI ni kupunguza unywaji wa pombe na vinywaji vingine vyenye sukari, kwa sababu sukari ni chakula cha bakteria hivyo kwa kuendelea kunywa kinywaji chenye sukari kutaifanya hali kuendelea kuwa mbaya. Ugonjwa huu ni rahisi kuepuka kwa mtu anayependa kunywa maji ya kutosha na kunywa juisi halisi kila siku.
VYAKULA MUHIMU KUDHIBITI UTI
Katika kuudhibiti ugonjwa huu, pendelea kula vyakula ama vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha vitamini C ambayo utakipata kwenye matunda ya aina mbalimbali yakiwemo machungwa, mboga za majani n.k. Jiepushe na ulaji wa vyakula vya ‘kupaki’ kama vile ‘chizi’, chokoleti na bidhaa nyingine zilizotengenezwa kutokana na maziwa. Pia jiepushe na ulaji wa vyakula vyenye viungo vingi kama pilau, epuka vyinywaji vyenye ‘caffeine’, kilevi na sigara na mwisho achana na vinywaji kama soda na vinavyofanana na soda.

NAMNA YA KUBANA UKE WAKO (HALF BIKIRA)

Uke kuregea ni tatizo linalotokana na kuregea kwa misuli ya uke hali hii husababisha Uke kuregea (Kutepeta). Maranyingi wanaume wenye wake au wapenzi ambao wana matatizo ya uke ulio regea  hua wanapoteza hamu ya kuwaingilia hao wake au wapenzi wao au kushindwa kumudu vyema hilo tendo la ndoa kwa maana ya kutokuweza kurudia mara ya pili ikiwa atamwaga la kwanza.
         
            SABABU ZA UKE KUREGEA
Zipo sababu zinazopelekea misuli ya uke kuregea hivyo kusababisha mwanamke kua na uke ulio regea nazo ni hizi zifuatazo;
                              (1)  Magonjwa ya uke
                              (2)  Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
                              (3)  Kujifungua
                              (4)   Usagaji

            DAWA YA UKE KUREGEA
(1)Tafuta mnana (mint tree) jemsha majani kadha alafu jifukize mvuke wake na upake maji yake kila unapokoga.

(2)Tafuta maganda ya mkomamanga ya Nike mpka ya kauke then yasage upate unga alfu chukua ujazo wa nusu kikombe cha Chai na maji liter 1 then chemsha alfu chuja upate maji tu jipake kila asubuhi na time ya kufanya tendo la ndoa.

(3)Chukua kokwa za embe za kutosha zianike jua mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini.
                  MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
fanya zoezi hilo kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.
     #Mabadiliko utayaona baada siku tatu

Sunday 23 April 2017

NAMNA YA KUONDOA MICHIRIZI (HOW TO GET RID OF STRETCH MARKS)

1. Mafuta ya costor oil
Castor oil, which is used in the treatment of a number of skin problems such as wrinkles, age spots, moles, dark spots, fine lines and pimples, can also be used to get rid of stretch marks.
Apply some castor oil to the stretch marks and gently massage the area in circular motions for 5 to 10 minutes.
Wrap the area with a thin, cotton cloth. Using a hot water bottle or a heating pad, apply some heat to the affected area for at least a half an hour.
Repeat this process daily for a minimum of one month to notice positive results.
2. Aloe Vera(mshubiri)
Aloe vera is effective in the treatment of many skin problems. Its healing and soothing properties can be used to get rid of stretch marks. There are a couple of ways to apply it.
You can directly rub aloe vera gel on the affected skin area, leave it on for 15 minutes and then rinse the skin with lukewarm water.
Another option is to make a mixture with one-fourth cup of aloe vera gel, oil from 10 vitamin E capsules and oil from five vitamin A capsules. Rub this mixture onto the skin until fully absorbed. Repeat this process daily.
3. Egg Whites(yai jeupe)
Eggs are a rich source of protein. For stretch marks, you want to use only the egg whites, which contain amino acids and proteins.
Whip the whites of two eggs gently with a fork. Clean the affected skin area with water and then apply a thick layer of egg whites with a makeup brush.
Allow the egg whites to dry completely and then rinse the area with cold water.
Finally apply some olive oil on the skin to keep it moisturized.
Repeat the process daily for at least two weeks and watch for positive results
4. Lemon Juice
Another simple way to lessen stretch marks is to use lemon juice. Lemon juice is naturally acidic which helps heal and reduce stretch marks, acne, and other scars.
Rub fresh lemon juice gently onto the stretch marks using circular motions. Allow the lemon juice to soak into your skin for at least 10 minutes before rinsing it off with warm water.
Another option is to mix equal quantities of cucumber juice and lemon juice and apply the mixture on the stretch marks.
5.Sugar(sukari)
Natural white sugar is one of the best natural remedies to get rid of stretch marks. You can use the sugar to exfoliate your skin.
Mix a tablespoon of raw sugar with some almond oil and a few drops of lemon juice. Mix it well and apply it on the stretch marks and other skin areas.
Gently rub the mixture on the skin for a few minutes every day before taking a shower.
Do this for a month or so and watch your stretch marks become lighter.
6. Potato Juice
Potato juice contains vitamins and minerals that foster growth and restoration of skin cells.
Cut a medium-sized potato into thick slices.
Take one of the potato pieces and rub it gently on the stretch marks for a few minutes. Make sure the starch from the potato covers the affected area.
Allow the potato juice to dry for some time and then wash it off with lukewarm water.

Monday 10 April 2017

PATA HESHIMA YA NDOA YAKO KWA DAWA ZA ASILI

HESHIMA YANDOA YAKO
(1)Chukua haba soda na tende na maziwa safi ya ngombe fanya juis kunywa mara moja tu kwa siku
(2)Mzizi wa mpopoo unakata vipande 7uwe mbichi upate natangawizi napweza m'bichi upike pamoja mchuzi utakunywa kutwa mara mbili asubuhi na jioni
(3)chukua mzizi wamchakuzi upikwe napweza mgonjwa apewe anywe siku tatu mpaka saba kutwa mara tatu
(4)kwa wale wanao mwaga mapema  chukua mzizi wa mfungua jini namzizi wa mhogo chemsha pamoja kunywa mara mbili siku tano
(5)Kwawale wasio nyanyua kabisa chukua mzizi wa mkwaju kunywa lita moja kwasiku saba
(6)Chukua mzizi wa mwinamia kuzimu kunywa kikombe kimoja siku tano kutwa mara mbili
(7)Chukua mzizi wa njugu  kula kipande kimoja uwezavyo

Sunday 9 April 2017

NJIA ZA ASILI ZA KUKUZA UUME

              TIBA  MABALIMBALI ZA ASILI ZA KUKUZA UUME
1: TIBA YA MWANZO KITUNGUU THAUMU (ONION)
Tafuta kitungu thaumu kimoja kata vipande viwili saga kipande kimoja kisha fanya maandalizi ya kusimamisha misuli yako ya uume namana ya kufanya hivo futa maelekezo haya
-Chukua maji ya uvugugu chua katika ume wko mpka usimame kidogo
-Futa maji kwa kitamba
-Chukua kitungu thaumu ulichokisaga kipake vizuri kwenye uume wako alafu chua kwa kuanzia chini kuvutia juu kwa kutumia kidole gumba na cha shahada fanya kama pete anza chini kidogokidogo pandishia kwenye kichwa cha ume utafanya hivo mara zifuatazo
-Siku ya mwanzo fanya raound 20
-Siku ya pili fanya round 40
-kila siku nyengine zidisha round mpka ukifika size unayotaka acha kuchua.
2:TIBA YA PILI MAFUTA YA TEMBO NA UNGA WA TANGAWIZI
MANZDALIZI YA DAWA HI
-Chukua kichupa kimoja cha mafuta ya tembo
-chukua unga wa tangawizi ulosagwa vizuri kwenye ujazo wa kikombe cha kahawa kidogo
-chnganya vizuri mafuta na unga mpka uwaone umechanganyika
-Uwache mchnganyiko howo kwa siku mbili alfu anza kutumi
-NAMNA YA KUTUMIA chua ume wako kwa mchanganyiko huo anza na maji ya uvugu vungu mpka uume wako usimame vizuri futa maji anza kujichua kwa dakika 3 mpka 5
-Ikifika size inayotaka acaha kuchua jitahid ukichua usimwage
2:TIBA YA TATU MDODOKI
Tiba hii ni ya kudumu kuna mti unaotamba kama mboga na africa umejaa sana huo mti wazanzibar huwa wanauita mdodoki na upande wa tanganyika sana unajulikana muogea namna ya kuutumia
-Tafuta huo mti alfu tizama tunda lake ambalo ndokwanza linanza kuchomoza
-Nnunu kiwembe kipya ji chanje kidogo kwenye kichwa cha uume alfu chanja na kwenye liletunda la huo mti ukisha chanja litatoka utomvu chukua utomvu paka pale ulipochanja kwenye kichwa cha uume
-lihifadhi hilo tunda usilisahau au ukiweza lichore upate kulijua kadri ya tunda linavokuwa na uume wako unakuwa
-ukishafika size unotaka kalikate lile tunda
4:TIBA HI NIA YA  ASALI NA MDALISINI
-Chukua mdalisini kijazo cha kikombe ch kahawa na asali pia
-Changanya huo mchanganyiko mpaka uchanganyike vizuri
-Chua uume kwanza na maji ya uvuvugu vugu mpaka usimame kidogo alafu futa uume wako vizuri na kitamba anza kujichua huo mchanganyiko kwa dakika tano
-huwo mchanganyiko unafanya umme uwe na nguvu na uchele kumwaga
-unaweza kutumia kila siku na pia unaweza kunywa

KAMA HUJAFAHAMU COMMENT  NIKUFAHAMISHE ASANTENI

Comments

ANDIKA TATIZO LOLOTE KWENYE COMMENT TUKUANDIKIA SOLUTION